Tanzania Quick Service
Tanzania Qiuck Service (TQS) ni kampuni inayotoa huduma kupitia njia ya mtandao wa intaneti na simu. Lengo kuu likiwa ni kuwawezesha Watanzania wenye mahitaji ya huduma katika maeneo ya elimu, kilimo, sheria, afya, mahusiano na mambo ya kifamilia kupata huduma hizo kwa haraka na ndani ya muda mfupi. Huduma hizi zinatolewa ukiwa popote na kwa muda wowote unapozihitaji ndani ya nchi.
PATA HUDUMA HAPO ULIPO KWA



Muda: 02: 00 Asubuhi – 06:00 Mchana
09:00 Mchana – 04:00 Usiku
Maelekezo: Wasiliana na mhudumu kwa namba 0754415464, 0625940358, 0654616464
kwa maelekezo na kupangiwa muda kwa ajili ya ushauri na menginyo.
Kwa ushauri wa kitaalamu : Utalipa kupitia namba tajwa simu hapo juu.
Gharama yake : Tsh. 4500 kwa dakika 45
ungana nasi kupitia
