top of page

                          Ushauri katika kilimo na mazao


•    Uzalishaji wa mazao kitaalamu
•    na matumizi bora ya ardhi
•    Afya ya udongo na udhibiti wa chumvichumvi ya udongo.
•    Matuzmiz ya mbolea shambani
•    Usimamzi wa mifumo ya maji na Teknolojia.
•    Udhibiti wa magonjwa na wadudu waharibifu wa mazao. 
•    Udhibiti wa magugu

  Ushauri katika kilimo cha mseto na uzalishaji wa mazao katika                                               mashamba makubwa
•  
 kilimo cha mbogamboga na uongezaji wa thamani ya mazao ya kilimo
•    Uzalishaji miche na kilimo cha uhakika
•    Usanifu wa ardhi na suluhisho la kijani kibichi.
•    Ulimaji kwenye maeneo yenye ukame na kwenye jangwa
•    Kilimo hai/Kilimo kisichotumia kemikali za viwandani.
•    Ulimaji wa mimea ya viungo, dawa na mazao yenye harufu za kunukia.
•    Utunzaji/uangalizi wa mazao baada ya kuvuna na mifumo ya uhifadhi 
•    Uchakataji wa vyakula na huduma za uongezaji wa thamani

      Ushauri katika uzalishaji na usimamizi wa wanyama

                              na malisho


•    Afya ya mifugo na uendelezaji wa sekta ya maziwa
•    Uzalishaji na utunzaji wa kuku na sungura

•    Upangaji wa mikakati na uzalishaji wa samaki, kibiashara na kwa matumizi mengine.
•    Utambuzi wa rasmlimali malisho
•    Uanzishaji na utunzaji wa malisho
•    Uzalishaji wa mbegu za malisho
•    Uchakataji na uhifadhi wa vyakula vya mifugo
•    Uchanganyaji wa vyakula vya mifugo

                    Ushauri katika Kilimo-biashara


•    Maendeleo ya biashara ndogondogo.
•    Kilimo-masoko

                 Ushauri katika maeneo menngine

·   Ujuzi, mafunzo na maendeleo ya ujasiliamali katika sekta ya kilimo.

·     Elimu ya Kilimo

·     Mifumo ya utafiti

·     Mifumo ya Ugani

Pata huduma kutoka kwa wataalamu wenye uzoefu na taaluma  za Kilimo, malisho, ufugaji mifugo na samakiTanzania.Tunatatua matatizo yako kitaalamu popote ulipo mahali popote. Tunatambua nchi yetu nyanja hizo ndio uti wamgongo kwa maisha ya mtanzania na maendeleo ya nchi yetu . 

 

.                               KARIBU UPATE USHAURI KATIKA MAENEO HAYA

bottom of page